JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
natamani ifike talehe 25 2015 tuone nani mkali
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Hello wadau wa chit chat mie sio mwenyeji humu ndo najongea jongea huku nahitaji ushirikiano wenu ni mdau wa MMU na jukwaa la porojo kama sio siasa
0 Reactions
2 Replies
700 Views
Wakuu, Leo nimeamka na matope miguuni asubuh wakati najiandaa kwenda kongo,nimeshtuka baada ya kujikuta nina matope asubuhi na najua hawa ni wachawi tu nasema. SHIKAMOO WACHAWI
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Wa kwanza darasan na wa mwisho darasan ndo watu maarufu darasan Shikamoooo lowasa
0 Reactions
1 Replies
800 Views
wakuu nina mada ndogo sana hapa, kwa nini watu warefu wana miguu mikubwa wanavaa namba 13 mpaka 14, pia kwa nini watu wafupi wana miguu midogo sana wanavaa namba 2 mpaka 5 tena hawa ni watu...
0 Reactions
11 Replies
6K Views
Wapendwa wana MMU leo tarehe 15/10/2015 ni siku ambayo mdau mwenzetu dada Apologise lady anakumbuka siku yake ya kuzaliwa. Tunafahamu kuwa kwa kila binadamu hii ni siku muhimu sana maishani hasa...
0 Reactions
39 Replies
3K Views
happy birthday to me ...happy birthday to meee..how old are you now.. how old are you now... i am 23 years old...kata keki tule...nakata...kata keki tule ...nakata...lets god bless me... lets god...
3 Reactions
9 Replies
2K Views
Amani iwe kwenu! Kwa wale wanaosubiri kuapishwa baada ya uchaguzi October 25 nawaalika mje hapa kwangu nauza ng'ombe wangu kwa bei zuri, kwa mawasiliano zaidi njoo kwenye room yangu nitakupa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Salaam, nakumbuka kipindi flani back in days,i had a quarrel with my back then girlfriend. Tuliargue sana siku hiyo na kurushiana maneno sana and for weeks tukawa hatuongei. Nakumbuka siku hiyo...
0 Reactions
33 Replies
9K Views
Baada ya Oct 25 magazeti yatakuwa yamebeba headlines mbalimbali, hebu twende nazo hapa! Nipashe: UKAWA juu Uhuru: CCM kidedea, Mtanzania: Historia mpya yaandikwa!
1 Reactions
52 Replies
8K Views
Pendael24 Yaani nampenda Mungu saa 24. Wewe je, kwanini kujiita hivyo?
0 Reactions
1 Replies
760 Views
Mm, familia yangu na watu wengi wa karibu tumeanza Kusherekea mapema ushindi wa Dr John Joseph Pombe Magufuri... Kama unajihis Kushiriki karibu Forodhani Garden kesho saa 2 usiku, huduma zote...
2 Reactions
7 Replies
1K Views
Habari Zenu Wandugu. Kwa Masikitiko Makubwa Hivi Ninavyoandika UZI Huu Bado Nipo Lodge Huku TANDALE Nikiwa Na Mgoni Wangu Na Bahati Mbaya Wakati Nimeingia Chumbani KUMFUMANIA Mke Wangu Kwa MSHTUKO...
2 Reactions
104 Replies
10K Views
1. kueka mate kwa juice ndio usiombwe. 2. ukikosewa na mtu unafunga na yeye. 3. blackmailing your best friend ndio afanye what you want, "leta nicopy ama tukosane" 4. kukasirika cause...
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Mmbo vipi hapo,yah mimi ni me kwa jinsia sasa jana baada ya kubugia chupa kadhaa za tbl nikajikuta nimesinzia kitandani kwangu.nikapitiwa na ndoto wajameni,,ndoto yeynyewe nilikua naota watu...
1 Reactions
12 Replies
3K Views
naitwa rahma naishi moro, elimu yng kidato cha 6....awe na. miaka 19-25
3 Reactions
43 Replies
15K Views
Yaani utakuta mtu anajambaaa. Yaani kujambaaa me sipendi myu ajambeee utakuta bonge la dume afu linajambaaaa yaani kujamaaa jamani kujaambaaaa afu mwanamke mzuri naye anajambaaaa
0 Reactions
5 Replies
2K Views
NAOMBA kujuzwa Leo rais yuko uwanja gani nijongee
0 Reactions
5 Replies
2K Views
leo chama cha pool table tanzania kimetangaza kutompokea juma nyoso kwenye mchezo wao, na wanafanya hivyo kujihami kwani kwenye mchezo wao wanahisi ndio atakuwa hatari zaidi.
0 Reactions
4 Replies
3K Views
Back
Top Bottom