Wonders! Kumbe Atoto ni mzuri hivi?

Wonders! Kumbe Atoto ni mzuri hivi?

kiwatengu

Platinum Member
Joined
Apr 6, 2012
Posts
19,489
Reaction score
18,379
Ndiyo nimejua leo...
kumbe baby baby nyingi humu wazee wanasababu zao...

by the way!! nafurahia kuwa na mpenzi wangu shansarie..

my advice to 'Valentina'.... settle!! tulia upendwe.
my advice to Kaizer... tulia upende!!
my advice to miss chagga, usipoteze muda zaidi olewa!!
my advice to Preta...mficha uchi hazai!!
my advice to charty, okoka upate raha!!
my advice to Chocs achana, na Erickb52 ana demu mwingine!!
my advice to Arushaone, hamia Botswana Lady doctor atafurahi...
my advice to mwallu!! mwarakishe Mentor akulete moshi, haraka mwaka huu, kabla hujakuta mwana si wako!!
my advice to FaizaFoxy, achana na Siasa njoo chit chat tuchit chatike... utakaa kwa upande wangu!!

To be continue...
 
Last edited by a moderator:
He....!!!...
kwanza mlimani ushaenda.........?.......
 
Mbona hamfikii hata robo madame b wangu
 
Ndiyo nimejua leo...
kumbe baby baby nyingi humu wazee wanasababu zao...

by the way!! nafurahia kuwa na mpenzi wangu shansarie..

my advice to 'Valentina'.... settle!! tulia upendwe.
my advice to Kaizer... tulia upende!!
my advice to miss chagga, usipoteze muda zaidi olewa!!
my advice to Preta...mficha uchi hazai!!
my advice to charty, okoka upate raha!!
my advice to Chocs achana, na Erickb52 ana demu mwingine!!
my advice to Arushaone, hamia Botswana Lady doctor atafurahi...
my advice to mwallu!! mwarakishe Mentor akulete moshi, haraka mwaka huu, kabla hujakuta mwana si wako!!
my advice to FaizaFoxy, achana na Siasa njoo chit chat tuchit chatike... utakaa kwa upande wangu!!

To be continue...

Nikihama jukwaa la siasa watafanya maandamano.
 
Nikihama jukwaa la siasa watafanya maandamano.

....Wa kwanza kuandamana ni mimi.....kama ilivyo kawaida yangu!:welcome:.

BTW kiwatengu nchi hii sihami labda Dr. Mihogo na mchumbawe Mushumbuzi ndio watahama......mimi ni wa hapahapa meku.

BCC: My love Lady doctor kwa taarifa.

CC: Karucee kwa maoni.
 
Last edited by a moderator:
Nikihama jukwaa la siasa watafanya maandamano.

Lakini siku hizi sikuoni kule ni km umekimbia na kuna nyepesi nyepesi kuwa upo mbioni kuhama kile chama cha kawaida na kuhamia UKAWA😉
 
Back
Top Bottom