faabroz
JF-Expert Member
- May 26, 2009
- 286
- 69
poleni na kaz
naomba msaada wiki ijayo nahitaji kwenda Bagamoyo na familia yaani mke na watoto 2 nikakaae kama Siku 2 lakini bahati mbaya sijui nini cha kutembelea nikifika huko licha ya kusikia tu kwa watu kuwa kuna vivutio vizuri sasa naomba msaada kwa mwenye kujua hili,na malazi guest quality na cost,
ahsante kwa msaada