Kwenye kipindi hiki cha uchaguzi, ujinga ni?

Kwenye kipindi hiki cha uchaguzi, ujinga ni?

Nic..

Senior Member
Joined
Jul 22, 2014
Posts
145
Reaction score
160
Kwenye kipindi hiki cha uchaguzi, ujinga ni??
 
Kutokuwa na kichinjio wakati sifa unazo za kuwa nacho!
 
Mgombea kusema ulinde kura wakati yeye kalala kwake...
 
Kufananisha wanaotaka mabadiliko na mabadiliko ya wanaume kubeba mimba
 
Back
Top Bottom