JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Today's date is exactly a mirror image... 1⃣6⃣0⃣2⃣2⃣0⃣1⃣6⃣
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Wakiwa bar wanasubiri mhudumu, Jamaa akamuuliza demu wake, "Baby unatumia Facebook?" Demu kujifanya na yeye ni wa mjini kwa maringo na pozi kibaoo akajibu, "Ndio natumia ila isiwe ya baridi sana."...
4 Reactions
2 Replies
3K Views
Au we unaonaje? ......Basi tiririka tupate mawazo yo.
0 Reactions
7 Replies
846 Views
Kisa cha mwanamke wa ziwani – 2 Inaendelea...... USHAHIDI huo maarufu kama Jailhouse Snitch ndio uliopewa uzito zaidi na polisi katika kumtia Gordons hatiani. Walidai kuwa katika kipindi cha...
0 Reactions
3 Replies
908 Views
RIWAYA: ANGAMIZO MTUNZI: HALFANI SUDY SIMU 0674 395733 WHATSAPP 0757633010 SEHEMU YA PILI ILIPOISHIA JANA "Tunaweza kuonana baadae sehemu tofauti na hapa?" "Bila shaka" WalibadiLishana namba zao...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
RIWAYA: ANGAMIZO MWANDISHI: HALFANI SUDY SIMU: 0674 395733 Whatsapp 0757 633010 Sehemu ya Kwanza. Ilikuwa jumatatu tulivu sana katika mitaa ya jiji la Arusha, jiji lilipo kaskazini mwa nchi ya...
0 Reactions
3 Replies
3K Views
Wakuu jana nilipita pale mbugani mikumi cha ajabu nilikutana na mbwa wa kawaida akirandaranda ndani ya mbuga ya wanyama wakali kama simba na chui, sasa sijui mbwa hawaogopi simba na chui?
0 Reactions
25 Replies
4K Views
bajeti nishapanga, nishapitisha na kinachoendelea sasa ni utekelezaji
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kisa cha mwanamke wa ziwani – 1 Aliuawa, mwili ukazamishwa majini kwa miaka 21 Ulizamishwa kwa kufungashiwa vitu vizito usiibuke AGOSTI 12, mwaka 1997, majira ya mchana katika Wilaya ya Lake...
3 Reactions
4 Replies
2K Views
mama mmoja mlemavu wa mguu kaja jijini kumtembelea bintiye ambaye ni mkurugenzi wa kampuni fulani,binti hakufurahishwa na ujio wa mamaye kwani kwa hadhi aliyonayo aliona kama fedheha kuwa na mama...
4 Reactions
11 Replies
3K Views
Ilikuwa ni wakati wa Bw na Bi harusi kuingia ukumbini hebu angalia hapa:
0 Reactions
3 Replies
3K Views
kwani huyo wema ndona nani wakuteka media sasa kwani yeye akipata mchumba wengine ina wahusu nini hayo si maisha yake binafsi yaani mpaka bbc nao wanakaa kuitengenezea habari eti wema kapata...
1 Reactions
13 Replies
2K Views
Jamani tataizo wana jf mnatumia majina ya utani!! a.k.a nickname bac naomb wana greencity tujuane bac
0 Reactions
2 Replies
1K Views
TUCHEKE KIDOGO John Massawe alikuwa kanisani, kapu la sadaka likaanza kupitishwa, lilipofika kwake akatoa noti ya shilingi mia tano akaikunja kisirisiri akaitumbukiza kwenye kapu. Mara ile ile...
5 Reactions
4 Replies
2K Views
Mzee mmoja mwenye heshima zake alipita mtaa fulani uswahilini akakuta vijana wamejipanga barabarani kwa furaha. Mzee akauliza, "Vijana kuna nini hapa?" Kijana mmoja akamjibu, "Tumeambiwa kuna...
9 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamaa mmoja bausa alikuwa kapumzika mahali fulani anakula upepo. Mara akatokea dogo mmoja akamuuliza, "Bro, saa ngapi?" Bausa akajibu, "Ondoka hapa usinisumbue!" Dogo akamwambia, "Siondoki mpaka...
2 Reactions
15 Replies
3K Views
hawa watoto ni wacheza filamu wa kinigeria,nimeanza kuwaona kwenye tasnia hii kwa kipindi kirefu sasa hata zaidi ya miaka kumi na tano.ajabu ni kwamba taswira na muonekano wao haubadiliki,hawakui...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Find a word which is singular, add an 's' and it becomes plural, and add another 's' it becomes singular again? Hint :only 2 words
0 Reactions
8 Replies
2K Views
"Miaka michache iliyopita nilikutana na mwanamke mjane aliyekua na binti mkubwa tu na mimi na huyo mjane tukaamua kuoana. Baadaye baba yangu akamuoa binti yangu wa kambo (yaani binti wa huyu mke...
1 Reactions
1 Replies
3K Views
History Ya Valentine Day ★★★★★ Asili yake ni sherehe ya kipagani iliyoanzia mjini Rome Italy.Ikaingia kuwa ya kidini na sasa imekuwa ikitumika kama ni msimu wa kufanya biashara huria ambapo...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Back
Top Bottom