Nimekutana na Mbwa Mikumi

K 4 LIFE

JF-Expert Member
Jul 21, 2015
2,567
416
Wakuu jana nilipita pale mbugani mikumi cha ajabu nilikutana na mbwa wa kawaida akirandaranda ndani ya mbuga ya wanyama wakali kama simba na chui, sasa sijui mbwa hawaogopi simba na chui?
 
Ukiona ivo ni dalili ya poachers maeneo hayo kwan mda mwingne huenda porn na mbwa kwa sabb za kuwasaidia
 
Wakuu jana nilipita pale mbugani mikumi cha ajabu nilikutana na mbwa wa kawaida akirandaranda ndani ya mbuga ya wanyama wakali kama simba na chui, sasa sijui mbwa hawaogopi simba na chui?
Utaacha ujinga lini mkuu?
Kila wakati unaposti habari tata au unafikiri watu hawana kumbukimbu?
Mara simba, mara nyoka, hivi wew sio mganga wa kienyeji kweli!!!
 
jambiloo mkuuu upo,sure nimekutana na dog pale mikumi nikahisi labda alipita nayo mnyalukolo moja akamdondosha bahati mbaya
 
aaaaaaa eti , porn porn, yaelekea huyu mkuu kazoea mapilau pilau aaaaaaah
 
Back
Top Bottom