TANZANNIA
JF-Expert Member
- Sep 29, 2015
- 1,047
- 384
hawa watoto ni wacheza filamu wa kinigeria,nimeanza kuwaona kwenye tasnia hii kwa kipindi kirefu sasa hata zaidi ya miaka kumi na tano.ajabu ni kwamba taswira na muonekano wao haubadiliki,hawakui na wana lafudhi ya kitoto,ni utaalam unatumika au ndivyo walivyo?