Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Mzee mmoja mwenye heshima zake alipita mtaa fulani uswahilini akakuta
vijana wamejipanga barabarani kwa
furaha.
Mzee akauliza, "Vijana kuna nini hapa?"
Kijana mmoja akamjibu, "Tumeambiwa kuna
mwanamke mmoja mzuri atapita hapa akiendesha
baiskeli akiwa mtupu kama alivyozaliwa. Mara Mzee akadakia, "Aa ngoja na mimi nisubiri unajua
sijaona baiskeli siku nyingi sana!"