JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
WIVU UNAPOZIDI NA KIINGEREZA SHIDA!! Mzee baada yakufika home after work kachoka akamkuta Mkewe kanuna Baba: Una tatizo ganii mama? Mke: Mme wangu kwa kweli tokea upate hii ajira mpya nakosa...
3 Reactions
6 Replies
4K Views
Man United imefungwa na team ambayo jina lake utadhani SMS inajiandika yenyewe wakati simu iko mfukoni huna habari nayo na umesahau kuilock #FCMidtjylland
3 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanajamii habari zenu, Ninauhakika kuna wanajukwaa wamewahi kusoma physics ambalo ni two in one yaani literature (laws and define) na mathematics (calculations ). Zote hizo zimeundwa na...
0 Reactions
38 Replies
8K Views
Wavuvi wanaujua muziki wa pweza kumkamata ni kimbembe na ndio maana baadhi ya wavuvi uenda kwa kalumanzira hili kupata dawa ya kumdaka pweza. Nasikia ukibugi akakuwahi your dead,maana ile mirija...
4 Reactions
22 Replies
5K Views
Wakuu tangu wiki iliyopita kila nikilala usiku naota nimeokota gunia la pesa, ila nikishtuka najikuta nimekumbatia pilow. Je hizi ndoto zina maana gani?
0 Reactions
30 Replies
3K Views
RIWAYA: ANGAMIZO MTUNZI: HALFANI SUDY SIMU: 0674 395733 SEHEMU YA SITA Mpende sana mama yako. Tuwaheshimu mama zetu. Tuwajari sana. Usimdharau hata siku moja mama yako. Mama ni kila kitu katika...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
RIWAYA: ANGAMIZO MWANDISHI: HALFANI SUDY SIMU 0674 395733 WHATSAPP 0757 633010 CHUKI ni kitu kibaya sana. Siku zote chuki ina matokeo mabaya kwa wote, anayechukia na anayechukiwa. Tuache...
0 Reactions
1 Replies
3K Views
RIWAYA: ANGAMIZO MTUNZI: HALFANI SUDY SIMU: 0674 395733 WHATSAPP: 0757 633010 SEHEMU YA TANO ILIPOISHIA JANA..... Walimaliza kuongea na Mayasa saa nne usiku. Walikodi gari iliyowarejesha Arusha...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
RIWAYA: ANGAMIZO MWANDISHI:HALFANI SUDY SIMU 0674395733 WHATSAPP 0757633010 Sehemu ya Tatu ILIPOISHIA JANA " Sasa Abdul mimi nitakupa hela" "Nitashukuru sana yaani dada yangu" "Lakini kwa...
0 Reactions
0 Replies
3K Views
YAMEMKUTAjamaa yangu wa karibu sana, hana raha kabisaa. Ile methali ya kusema usilolijua halikusumbui, ndugu yangu kaigundua kuwa ni ya kweli. Mimi kwa kweli namuonea huruma. Naomba na wengine...
1 Reactions
3 Replies
3K Views
Jaman kunani michell kafanya nini mpaka wamembarn? tususe au tugome ili wamrudishe haraka? binafsi nam miss
0 Reactions
269 Replies
19K Views
RIWAYA: ANGAMIZO MWANDISHI:HALFANI SUDY SIMU 0674395733 WHATSAPP 0757633010 Sehemu ya Tatu ILIPOISHIA JANA " Sasa Abdul mimi nitakupa hela" "Nitashukuru sana yaani dada yangu" "Lakini kwa...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Holla to all ladies and gents right here, U know what? I got a very beautiful chick around ma self. I have hustled so much just to get in touch with her. I initially got her number wrongly, it...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Akina dada mmefanya mtaji eti. @misschagga
1 Reactions
10 Replies
2K Views
Hivi ulikuwa hujui kuwa kisu nacho kina kata lakini hakina diwani? Naye dobi hata ajue kupiga pasi namna gani hawezi kupata namba FC Barcelona. Pia, ndoa nazo zinavunjika lakini hazifungwi...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Kenyan reporters>> "am here wid harambee stars captain mr victor wanyama..Mr victor wanyama wat iz ua name??"
1 Reactions
2 Replies
2K Views
KISA CHA MWANAMKE WA ZIWANI-SEHEMU YA MWISHO Gordons Park na Carol enzi za uhai wao Gordons Park ILIPOISHIA…………….. Mahakama ilielezwa kwamba wanandoa hao hawakuwa na mahusiano mazuri katika...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Jamaa usiku kucha anajamba ovyo kwa kila aina ya sauti. Mara pwii.. ! mara fyuu.. ! mara puu…! mara pyeeh..! Mara tata taa…! Mara buuu…! Mkewe akamuuliza una nini leo ? Akajibu nasikiliza MILIO ya...
0 Reactions
10 Replies
4K Views
Back
Top Bottom