BBC wamechemka aise

pilato93

JF-Expert Member
Jun 28, 2014
6,292
6,657
kwani huyo wema ndona nani wakuteka media sasa kwani yeye akipata mchumba wengine ina wahusu nini hayo si maisha yake binafsi yaani mpaka bbc nao wanakaa kuitengenezea habari eti wema kapata mchumba hizi media nazo majipu ila hili la bbc linamuhusu david cameroon alitumbue Vous quittez Facebook...
 
Hizo ni habari za burudani, sion tatizo lolote au mlitaka wawatangaze mastaa wa ulaya tu?

Mdoa mada inaonekana umeumia wema kurushwa BBC,
 
kwani huyo wema ndona nani wakuteka media sasa kwani yeye akipata mchumba wengine ina wahusu nini hayo si maisha yake binafsi yaani mpaka bbc nao wanakaa kuitengenezea habari eti wema kapata mchumba hizi media nazo majipu ila hili la bbc linamuhusu david cameroon alitumbue Vous quittez Facebook...
BBC Swahili ni tatizo. Aliyesema kama global publosher hajakosea

Kwani tatizo ni nini?
 
anaepost ni yule Kikeke unategemea nini? mara anabinuka sarakasi studio ,utoto umemjaa mbona sana
 
anaepost ni yule Kikeke unategemea nini? mara anabinuka sarakasi studio ,utoto umemjaa mbona sana
Unaikumbuka bbc swahili ya samadu hasani? Yule mzee alivyorudi bongo akaenda star tv? Kulikuwa hakuna habari za kijinga
 
Siyo kosa lao yamkini walikosa na kuishiwa habari za kurusha wakaona bora watimize ratiba tu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom