Kirikou Wa Kwanza
JF-Expert Member
- May 24, 2013
- 3,564
- 1,991
Jamaa mmoja bausa alikuwa kapumzika
mahali fulani anakula upepo. Mara akatokea
dogo mmoja akamuuliza, "Bro, saa ngapi?" Bausa akajibu, "Ondoka hapa usinisumbue!"
Dogo akamwambia, "Siondoki mpaka uniambie sasa
hivi ni saa ngapi?"
Bausa kwa hasira akajibu, "Ni saa 8 na nusu." Dogo akamwambia, "Poa ikifika saa 9 nakuja
kukushika tako." Bausa akainuka, "Unasemaje we mtoto
hunijui huh"?
Wakaaanza kufukuzana dogo
akakimbia nyumba ya jirani, baunsa
alipofika akamkuta mzee mmoja kakaa nje, Bausa akauliza, "Mzee kuna mtoto kaingia nyumba hii, namtaka!" Mzee akajibu, "Ndio nimemuona, ni mjukuu
wangu, kafanya nini?
Bausa akaendelea, "Kanambia eti ikifika
saa 9 atakuja kunishika tako."
Mzee akamwambia, "Sasa haraka ya nini? Vumilia
kidogo bado dakika 20 tu!"
Tehe tehe tehe kilichoendelea mi sijui!