Huenda wakati wowote nikawa milionea

Maghayo

JF-Expert Member
Oct 5, 2014
14,814
32,711
Ebwana wanaJF Mzuka!

Amani iwe kwenu. Yani ni zali ya aina yake. Ni hivi ukiondoa JF masaa hayapiti kama sijasoma Daily Mail online UK. August 2015 walileta habari ya mwanamke muingereza ambaye alikuwa anadai Mali zaidi mahakaman kwenye talaka ya ndoa yao iliyodumu miaka mingi.

Kabla ya ndoa yao kuvunjika walikuwa wafanyabiashara matajari wakihodhi Mali nyingi. Mwanamama huyu hakupenda ndoa yao ivunjike ila kuna kasichana kamiaka 23 kalimpagawisha mume wake ambaye ana miaka zaid ya 50. Sasa mwanaume anadai utajiri wao ni 150 million wagawane nusu kwa nusu ila mwanamke kakataa anataka zaid na anadai huyo mwanaume anaficha Mali zingine mabara mengine utajiri wao ni zaidi ya 300 million pounds. Kesi bado ipo mahakaman halaf tait ni ya kukomoana na kulipizana kisasi.

Nilipoisoma hii story nilimuonea huyu mama huruma Kwanza ni mzuri kwa sura na umbo. Mume wake alivyompata huyo mchepuko akawa anamtukana 'she's fat and ugly'. Ilibidi niingie Facebook nikasech jina lake nikamuandikia msg za faraja na kumtia moyo waraka niliuandika kwa weled wa aina yake. Ila hakujib toka mwez wa 8 2015.

Jana ijumaa sikuamin macho yangu kwenye FB messenger Yani hadi mapigo ya moyo yalikua yanaenda kasi ya ajabu. Huyu mmama bana kanijibu maamaee. Where are you from? And what are you doing for a living in Denmark? I'd really like to know more about you!

Baada ya kusoma iyo msg nina imani na matarajio huenda naweza kuwa milionea dah mungu akiamua kukumulikia tochi. Hizi kazi za kubeba boksi nazo zinachosha. Nilimjibu iyo Jana ila hajajibu na hajaniadd kwenye friend request. Ikitokea tukutane maamaee hummer renjii na V8 zinanihusu. Sitabeba boksi tena na retire kabisa. Niko radhi hata kumpiga kimbola. Kesi bado ipo mahakaman.

Born a poor is not a sin but dying poor it's sin- Bill Gates

Get rich or die trying- 50%
 
hahahahah,are you serious?
am serious my friend. Na siyo huyu wa kwanza niliotumia hii mbinu. Kuna wawili nilishawaleta hadi Denmark sema hao hawana hela. Mmoja dailymail waliweka story yake she's so fat to work she needs more benefits money to buy healthy food to loose weight bcoz she always eat junk food. Nikanakili jina lake nikaingia kwenye fb mbona hadi Copenhagen alikuja
 
minlijua box limekubali mkuu......
beba box hizo alinacha za kutegemea mali za mtu sahau......
uyo mama anajua unamchunguza hawez kukurupuka je ukiwa mtego wa mumewe umuue......
Get rich or die trying- 50%
kwakufanya kaz sio kwa kukutegemea mali za mtu.........
Born a poor is not a sin but dying poor it's sin- Bill Gates
beba box mkuu.
 
minlijua box limekubali mkuu......
beba box hizo alinacha za kutegemea mali za mtu sahau......
uyo mama anajua unamchunguza hawez kukurupuka je ukiwa mtego wa mumewe umuue......

kwakufanya kaz sio kwa kukutegemea mali za mtu.........

beba box mkuu.
mkuu mbona mimi muumin mzuri wa kufanya kaz kwa bidii. 14-15 hrs a day. Kodi nakatwa 36%
 
am serious my friend. Na siyo huyu wa kwanza niliotumia hii mbinu. Kuna wawili nilishawaleta hadi Denmark sema hao hawana hela. Mmoja dailymail waliweka story yake she's so fat to work she needs more benefits money to buy healthy food to loose weight bcoz she always eat junk food. Nikanakili jina lake nikaingia kwenye fb mbona hadi Copenhagen alikuja
He we kiboko,sasa mlishindwana nini?itabidi umwandikie na Paris Hilton
 
He we kiboko,sasa mlishindwana nini?itabidi umwandikie na Paris Hilton
hao ni wagumu wala sithubutu kuumiza akili yangu na kidole changu gumba kuwaandikia message. Am only taking full advantage of depressed women
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom