Barbarosa
JF-Expert Member
- Apr 16, 2015
- 22,584
- 27,811
Eti huyu shori anataka nianze kumfukuzia na ameniambia kabisa kwamba inabidi nitie bidii kumfukuzia lkn mimi nimegoma kwa maana najua kwamba msela alikuwa anapiga kabla ya hapo wakamwagana, sasa kwa nini mimi aniwekee ngumu, wakati najua msela alikuwa anapiga na msela mwenyewe simheshimu wala nini?!
Na hapa ndipo ninaposhindwa kuelewa kama ningekuwa sijui kwamba msela anapiga hapo sawa labda ningefukuzia lkn moyo unanigomea kutumia nguvu ili kumpata demu ambaye jamaa alikuwa anapiga kwa miaka miwili...!