Ushauri: Mchepuko wangu umezidisha sana utani, hataki kuchange

vampire_hunter007

JF-Expert Member
Jul 25, 2015
1,034
2,599
Habari wakuu,

Naomba nilete kwenu jambo langu mnishauri...

Mchepuko wangu bana unapenda sana utani...Tena nimeshamkataza tabia hii ya utani utani muda mrefu haachi...Yani yeye nikichat nae ananijibu kifupi fupi mnooo...

Kwa wale wa "Weka picha"...Huu ni mfano wa mazungumzo yetu...

Baby.PNG

Najua ananipenda sana tu, but huu utani wake sio mzuri sana...Sijui nifanyeje aache
 
Mkuu mchepuko sio dili...halaf km hutaki kutaniana na mpnz wako utataniana na nan?!
 
rudisha mapenzi main road. mnatoa pesa wenyewe mnaanza kusema ooh tunawachuna...
 
Habari wakuu,

Naomba nilete kwenu jambo langu mnishauri...

Mchepuko wangu bana unapenda sana utani...Tena nimeshamkataza tabia hii ya utani utani muda mrefu haachi...Yani yeye nikichat nae ananijibu kifupi fupi mnooo...

Kwa wale wa "Weka picha"...Huu ni mfano wa mazungumzo yetu...

View attachment 335480

Najua ananipenda sana tu, but huu utani wake sio mzuri sana...Sijui nifanyeje aache
Kula kona
 
Naamini huyo mpenzi (mchepuko) atakuwa member wa jf, sasa ngoja aje.
 
My bad kama sio, ila huyu sio jamaa aliye-confess alikuwa na ID ya kike humu? Sasa una-post na screen shots za mambo yako binafsi tena?

Chickity check yourself bro, before you wreck yourself. Mwendo wako hatari sana.
 
nipoteze mda wangu kukushauri kuhusu mchepuko wakati siyo halali, katika sifa za wanaume we huna maana unaomba ushauri wa kijinga badala utuulize ni mradi gani umfungulie mkeo wa ndoa we watuomba ushauri wa kijinga
 
Back
Top Bottom