sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,946
Wanajamvi, mimi sjambo.
leo nimejibazanza hapa kwenye ukumbi wa habari maelezo, nikiwa nimetizama ofisi za NHIF, jamani ndani ya dakika tano wamepita wadada, jinsi nilivyo ona na kwa ozoefu wangu wa kuishi zanzbari miaka mingi niseme ukweli wale wadada, hawakuvaa nguo za ndani(chupi), maana uuu haukuwa mtiksko wa kawaida,
na ili ni mara tatu naliona hivi wanaume wa Dar hamja liona mkalikemea ili?mara ya kwanza niuliliona Happy hr pale kwenye ile kasino yetu, dada hakuvaa kabsa na uzuri nilimuuliza na mazungumzo yetu yalikuwa kama ifatavyo,
sifileo... mambo mrembo?
mrembo.... poa niaje mwanaume wa Dar?
sifileo '....haaaaaa! nikacheka kidgo nikavuta pumzi na kunjibu, mi sio wa dar ila wa zenji bhana'
mrembo ...... mbona huoneshi km mra rojo?
sifileo... haaaa, mi ni mra jojo,sio rojo.
mrembo...haaaaa, ''akacheka, mwishowe akaaanza yale mapozi yao ya kutingisha miguu''
sifileo.. mbona umecheka sana, au ndo savana imeanza kufika kunako staili?
mmrembo......
hapana nimefurahi kukutana na wewe, maana unaonekana unachekesha na kucheka mi napendaga sana wanaochekesha na kucheka''
sifileo... hata mimi napenda sana kufanya wanao fanyika, maana kuna wengine ufanywa ila hawafanyiki.
Mrembo... akacheka uku akionesha meno yake yaliyo na ukungu wa mvua ya mawe,
pombe zikazid, baada ya masaa mawili.
sifileo..... mrembo mim naondoka maana happy hr imeisha imebakia maumivu time.
mrembo.... haaaaa we lazima utakuwa mwanaume wa Dar sio bure.
sifileo...sawa ilakbra sjaondoka naomba nikukumbushe kitu, maana inawezekana ukawa umeashahu wajua nyie wadada wamnaofanya kazi hapa mjini mna kazi nyingi sana na mpo comited sanaa,(Kesho weka alamu kwenye saa yako, ikifika saa kumi kamili amka uvae nguo ya ndani) maana kwa mtingishiko huu huwezi kuwanumevaaa.
UKIMALIZA KUSOMA SEMA NITOE PART TWO .KUJUA ALIJIBU