GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 59,949
- 119,212
Tarehe Moja Nilipoandika UZI Humu TENA Nikijiamini Kabisa Kama Kawaida Yangu Wapo Walionijibu Kwa KUNITUSI, KUNIKEBEHI Na Hadi KUNIDHALILISHA Na Bahati Nzuri Sana Hata Posts Zao Zipo Katika Ule UZI Kuwa Gadner G. Habash Anarudi Rasmi Clouds Media Group Nikimaanisha Kuwa Mtangazaji Wa Clouds FM.
Leo TAARIFA Yangu Ile IMETHIBITISHWA Tena Na Uongozi Wa Clouds Media Group Na Tayari Gadner Ameshaingia KANDARASI Nao.
Sitaki Kusema Mengi Na Siwalazimishi KUNIOMBA RADHI Ila Kwa Yoyote Yule ALIYENIDHIHAKI Juu Ya TAARIFA Yangu Ile JISIKIE AIBU NA NIOMBE RADHI La Sivyo Ninamuachia MAULANA!
Otherwise Hongera Sana Clouds Media Group Kwa Kumrudisha Huyo JEMBE Na Hakika MTATISHA Sana Kama Siyo Mno. Na Kwa Wale Mnaoendelea KUNICHUKIA au KUNIDHIHAKI au KUNIONEA WIVU Juu Ya Taarifa Zangu NAWAOMBENI SANA MSIACHE KUNIDHIHIKANI au KUNIDHARAU Kwani Nyie Ndiyo Mnanifanya Niwa Prove Kuwa NIMEWAZIDI VITU VINGI Na Kwamba NIMEBARIKIWA Na Ningewasihi Tu Kuliko KUNICHUKIA Badala Yake Tu Mngekuwa Mnajifunza Vitu Kutoka Kwangu Ambavyo HAMNA Na Pengine HAMTAKUWA Navyo Hadi MAUTI Uwakuteni.
Leo Mwenyezi Mungu AMEWAUMBUA WANAFIKI Na WAZANDIKI Wangu Wote! Akhsante Mungu.