JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
1. KUNYA-Kiukweli unapokuwa unakunya unasahau shida zote za Dunia hii. 2.KULALA-Hakuna atakayebisha wakati usingizi unakuchukua ni utamu na raha kiasi gani unaipata na kusahau shida zote za...
4 Reactions
24 Replies
10K Views
wakuu ni kwa nini daladala na mabasi ndio yana hawa kondakta? lakini vyombo vya usafiri kama ndege, boti,treni,mitumbwi hazina kondakta wakati navyo usafirisha abiria na kupitia vituo mbalimbali...
0 Reactions
8 Replies
3K Views
Siku ya mama mama mama unyanyasaji wa akina mama mama Sisi wenyewe akina baba dunia ituone itupende itulinde na mikono ya dhalimu ya akina mama wanaotaka usawa wakati hata umbo lao haliko sawa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Hapa ndipo pana kazi... Marufuku ya kuingiza sabuni kutoka nje ya nchi, itafanya watu wapate sababu za kuto kuoga na wengine kutofua nguo hasa za 'ndani ya nchi'. Sipati picha mtafutano wake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
A- Leseni ya kuendesha pikipiki lenye au lisilo na sidecar na ambao uwezo unazidi 125cc au 230kg. A1- Leseni ya kuendesha pikipiki lisilo na sidecar na ambao uwezo ni chini ya 125cc au 230kg...
2 Reactions
4 Replies
2K Views
LEO TU HUU MCHANA Shamila KANIPIGIA, HILI SWALI KANIULIZA NA JIBU AKASUBIRIA, " Seneta WA Mtwiz Huijui Siku ya akina Mama?? Mbona Hufanyi Jitihada Kumpost #Mama_Nawema??" NIKAMJIBU Shamila...
2 Reactions
1 Replies
902 Views
A programmer is going to the grocery store and his wife tells him, "Buy a gallon of milk, and if there are eggs, buy a dozen." So the programmer goes, buys everything, and drives back to his...
3 Reactions
10 Replies
2K Views
Yaan mtu anakufata eti siku hiyo hiyo anataka muoane!!!!!!chefuuuuuuuuu Ukimwona mwanaume wa hivyo ujue hata mapenzi hajuiiiiiiii Yaan baadhi ya wanaume acheni ulimbukeniiii
5 Reactions
55 Replies
6K Views
Serikali: kwa nini umeficha sukari? Mfanyabiashara: mweshimiwa nioneshe ambaye ameenda kuweka sukari yake uwanjani pasipo kujal kuwa inaweza ibwa,haribika au kunyeshewa na mvua. Serikali...
2 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu salam zenu.. Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa...
2 Reactions
23 Replies
15K Views
Three Moi university students dodged exam because they were partying the whole weekend and couldn't read. They came up with a plan, got themselves dirty using grease then went to see the Dean on...
7 Reactions
13 Replies
6K Views
NDANI YA KANISA: MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua Guiness zote na kuzimwaga mtoni!" Waamini wakajibu Ameen! MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na kuzimwaga mtoni! WAAMINI: Ameen...
2 Reactions
3 Replies
2K Views
Habari wakuu, Tangu nirudi Tanzania toka nchi za nje nimekuwa na mzuka sana wa kukutana na washkaji wa kitamboo niweze kuwapa maujuzi ya nje ya Tanzania... Sasa wale wooote wa tanga, maeneo ya...
3 Reactions
15 Replies
3K Views
Umofia wana JF, Kuna Demu yupo kwenye tangazo la na Like asubuhi na Airtel,Yule msichana anafanya mazoezi katinga pedo ya njano na blauzi nyekundu,aisee kajaaliwa neema za alah na mahaga ya...
3 Reactions
19 Replies
3K Views
Habari, Bila kupoteza muda niende kwenye point, Katika pirikapirika zangu za kazi nikakutana na jamaa ambaye imenibidi tuwepamoja kwenye kazi. Mara tukawa karibu zaidi yaan marafiki, hivo...
0 Reactions
3 Replies
882 Views
Are you a Tanzanian aged between 25yrs-44yrs? Are you a holder of a Bachelor's degree in any field related to Finance, Statistics, Economics, Commerce, Humanities, Social Sciences...
1 Reactions
4 Replies
1K Views
Bwana Lukuledi alikuwa anapenda sana kunywa pombe kiasi kwamba ilikuwa akipata pesa anaondoka asubuhi na mapema kwenda kunywa pombe mpaka usiku sana anarudi kulala tu na kesho tena ataamka asubuh...
1 Reactions
0 Replies
2K Views
Wakuu, Ndugu yenu nina umri wa makamo (ni kati ya 23 na 26). Miongoni mwa vitu ambavyo nina ushamba navyo, Ni suala la kutopanda ndege. Hivyo naomba wakuu mnisaidie gharama na utaratibu wa...
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Misemo ya Nguli wa filamu za Kinaijeria Pete Edochie. 1. Fursa ndogo anayopewa nyani ya kivishwa nguo, haimhakikishii kujiunga katika meza ya chakula kula pamoja. 2. Kuishi na mwanaume asiye na...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
MAISHA NI MWANDISHI, SIO KALAMU Zamani wakati tupo shule ya msingi tulikua na utamaduni wa kushindana eti nani ana mwandiko mzuri[emoji1]. Yaani, zoezi hilo lilionekana la maana kuliko kusoma...
1 Reactions
2 Replies
785 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…