Ni shidah!

donlucchese

JF-Expert Member
Mar 23, 2011
17,123
21,872
NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua
Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza
mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na
kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu
tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI
TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini
wakaropoka: HALELUYAAA!
 
NDANI YA KANISA:
MCHUNGAJI: Ningekuwa na uwezo ningechukua
Guiness zote na kuzimwaga mtoni!"
Waamini wakajibu Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Safari zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Konyagi zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Banana zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen!
MCHUNGAJI: Ningechukua Whisky zote na
kuzimwaga mtoni!
WAAMINI: Ameen! Baada ya MCHUNGAJI kumaliza
mahubiri, mara Mwalimu wa Kwaya akasimama na
kuwaambia Waamini, "Fungueni vitabu vyenu
tuimbe wimbo namba 152 usemao NASI
TUTAKUNYWA MAJI YA MTO HUO!" Waamini
wakaropoka: HALELUYAAA!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom