Ramark
JF-Expert Member
- May 19, 2015
- 1,989
- 1,447
Siku ya mama mama mama unyanyasaji wa akina mama mama
Sisi wenyewe akina baba dunia ituone itupende itulinde na mikono ya dhalimu ya akina mama wanaotaka usawa wakati hata umbo lao haliko sawa mara mbele juu kumevimba nyuma kumevimba mara miguu miembamba juu mnene
Tunahitaji tuwe na dady day wanaume tupange tuadhimishe
Sishangiliagi akina mama Kwa nami na watoto ambao wakiona hivyo watampenda mama yao na kumheshimu sana kama anavyosema nasari redion , kuliko mimi baba yao
Tuwe equal watoto wapende sawa endapo na wewe utawapenda sawa wazazi wako sio mama mama mama na picha nyingi za akina mama zimepostiwa huku hana wazo la siku moja kupost ya baba yake.
Tuwapende baba zetu Kwan nao wanauchungu kama wazazi hicho unachofikir ni mungu aligawa majukumu yawe hivyo usibague kisa majukumu asilia na usipende kisa majukumu asilia
Ramarkism theory of dady day party