vampire_hunter007
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 1,034
- 2,599
Habari wakuu,
Tangu nirudi Tanzania toka nchi za nje nimekuwa na mzuka sana wa kukutana na washkaji wa kitamboo niweze kuwapa maujuzi ya nje ya Tanzania...
Sasa wale wooote wa tanga, maeneo ya Bombo, Raskazone, Nguvumali, Kwaminchi, Barabara za namba, Usagara, Makororaa, Sahare, Mabovu, Mikanjuni, Magomeni, Duga, na kwingineko tukutane hapa....
Masela wote wa waliosoma mkwakwani na kupiga sana stori mdimuni pale...Wale waliochezea fimbo za Kimea na Msagati, karibuni
Wale wa usagara waliokuwa wataalamu wa kutoboa nyavu...Waliochezea fimbo za Mkwizu msogee hapa....
Na wale wa shule za kata kama Old Tanga, Mikanjuni,ect
Wale watoto mambo safi wa Popatlal, Arafa, Alkheri,ect je hapa.............
Wazee wa tangamano kila jumanne na alkhamisi mkujee hapa..........
Wazee wa keram, zumna,ect nawaita hapa..........
Wazee wa beach ya waswahili, beach ya wahindi na wale akina sisi tuliokuwa na beach yetu kule Deep Sea mnakaribishwa............
Hebu kama umewahi kuishi Tanga tuelezee chimbo lako lilikuwa ni lipi na kama bado upo Tanga au umeshakuwa mwanaume wa Dar......
Karibuni.........