Je, UnaiaminI hii misemo?

ramadhani kimweri

Senior Member
Apr 22, 2016
165
169
Misemo ya Nguli wa filamu za Kinaijeria Pete Edochie.

1. Fursa ndogo anayopewa nyani ya kivishwa nguo, haimhakikishii kujiunga katika meza ya chakula kula pamoja.

2. Kuishi na mwanaume asiye na maarifa kichwani na asiyeweza kuijiongeza, ni sawa na kikongwe kukimbia mbio ndefu za Boston Marathon.

3. Wasichana ni kama maembe, wakati wewe ukisubiri muda yakomae, wengine wanayala kwa chumvi.

4. Yeyote atakayepasua nazi kwa kutumia kichwa, hata shiriki kunywa mchuzi uliopikwa kwa nazi hyo.

5. Mwanaume ambae atajipitisha pitisha kwa mwanamke mzuri bila kumueleza lolote, ataishia kunawisha wageni waalikwa mikono kwenye harusi ya huyo mwanamke.

6. Yoyote anayehesabu pesa baada ya kuzitoa katika mashine ya ATM anathamini uaminifu.

7. Msichana anapokua na Uzuri pasina maarifa kichwani, sehemu zake za siri huumia zaidi.

8. Kuwa na msichana kama rafiki ni kama kufuga kuku wa maonesho, ipo siku utamla.

9. Mbwa mwitu aliyeko juu ya kilima hana njaa kama mbwa mwitu apandae kilima.

10. Kamwe usiache watu wenye mawazo mgando na hasi wapange kichwani mwako, wapandishie kodi na wafukuze kichwan mwako.

11. Maisha yataendelea, hata kama wewe umeyasusia.

12. Makalio ni kama Wanandoa wawili, ingawa yana msuguano usioisha katikati yao, lakini bado yanapendana na yanaishi pamoja.
 
Back
Top Bottom