Baada ya uhaba wa sukari, sasa unafuata uhaba wa sabuni!

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Hapa ndipo pana kazi... Marufuku ya kuingiza sabuni kutoka nje ya nchi, itafanya watu wapate sababu za kuto kuoga na wengine kutofua nguo hasa za 'ndani ya nchi'.

Sipati picha mtafutano wake kwenye madala dala balaa hili likitokea.
 
Hilo tangazo la marufuku sabuni za nje limetoka lini na wapi? Na unapotoa taarifa nyeti kama hizi, weka na source.
 
Back
Top Bottom