Jamani uoga mwngne tena... Familia moja ilivamiwa na majambaz.
JAMBAZ: Ww mama unaitwa nani?
MAMA: Mm naitwa Asha
JAMBAZ: Unabahati jina lako km la marehem mama yangu hivyo sikuuwi, na ww baba...
Jirani zetu wanasifika sana kwa haka ka tabia ka kutumia rasilimali wanyama kwa jinsi ya tofauti na ilivyo kawaida.
Ila nina muda sana sijasikia skendo kama hizi kutoka kwao.!
Ninajiuliza...
Ilikuwa siku ya jumamosi nimekaa kijiweni napiga stori na wasela, mara akatokea demu wangu wa zamani. Nilimfuata na kuongea nae mamwili matatu huku tukicheka kwa furaha ya kuonana tena baada ya...
Juzi jioni nmetoka zangu town nikapita mitaa ya kona bar mida ya saa tatu hivi. Muda nao ulikuwa umeenda kiasi ila nikawaza kila siku nasikia changu changu leo ngoja nijipatie hata mmoja nionje...
Nimeamini hawa viumbe wanapenda pesa.
Kuna mwanamke mmoja anafanya kazi benki hapa dar es salaam kama teller tunatoka mtaa mmoja, ni mzuri sana. Ana mkia na kiuno cha nyigu, sio bonge na mfupi...
Mambo!
Nawaandikia kuwaaga wana JF wenzangu.
Nilikuwa likizo ya mwezi mmoja lkn kuanzia kesho natakiwa kuendelea na kazi kama kawaida, hivyo sitakuwa na nafasi kuuingia humu Mara kwa mara hii ni...
Za wakati tena wanajamvi!
Leo najisikia unyonge moyoni mwangu sijisikii kuchangamka kama nilivyozoeleka.
Najisikia kulia nikikumbuka madhambi yangu hasa ya uzinzi.
najisikia vibaya..bilashaka...
Wakuu kuna hili suala la wanaume wa dar naona limeshika kasi sana, kwanza ifahamike kuwa dar ni kubwa na si vizuri kutuhukumu wanaume wote wa jiji hili maarufu Afrika mashariki na kati. Lengo la...
za saa hizi wana jamvi nataka niwambie kuwa nimechungulia pale kona na kuona jamaaa wame
Staff Online Now
PainKiller
Moderator
Paw
Moderator
Rider
Moderator
pungua sio kama walio kuwepo pale...
Hbr zenu wanajamii wenzangu.
Nina furaha na heshima kubwa kuwaandikia machache kati ya mengi yaliyojili tangu nimefunga ndoa na Leo ikiwa ni siku ya nne.
Kwanza kbsa nachukua nafasi hii kumuomba...
Mi nakumbukuka nilipokuwa jkt pale Ruvu niliwahi kutoroka siku moja wakati wa mchakamcha wa asubuhi mida ya saa 9 alfjr na kwenda kujificha migazini(kwa waliopitia Ruvu wanapafaham sana) ili...
MAMA MKWE HATARI ..
Mam Mkwe: Hallow mwanangu Hujambo?
Kijana: sijambo mama shkamoo...
Mam Mkwe: Marhaba mwng za huko?
Kijana: Huku safi tu Mama tupo fresh kiasi
Mam Mkwe: et eeh...
wakuu kuna huyu best yetu kabla hawajapata kid walisumbua sana na manzi wake wa pande za kuleee,walikula bata,kuku ,swaga kibao, mara pati kibao pande za mount kibo, ilikua ni shidaaa mazee, but...
Jana niliwaleteeni uzi uliomhusu workmate wangu niliemuomba papuchi akanizingua lakni kwangu anakuja anakaa mpaka mida ya usiku sana
Leo kaja na madharau mengine ilihar papuchi yake hataki...
Wanajanvini, asbh na mapema nilikuwa naelekea Bagamoyo sasa kuna binti nilimkuta kakaa tayari nami nikikaa kwenye sit aliekaa yule binti sasa ndipo akaanza kunishobokea nimlipie nauli eti yeye...
Wadau,
Leo mwenzenu sina ratiba kabisa. Nauliza kama hapa Dar kuna eneo mtu anaweza kwenda either na Laptop yake kwaajili ya ku buy time/hang around bila gharama yoyote kama vile kununua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.