Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,522
- 24,010
Serikali: kwa nini umeficha sukari?
Mfanyabiashara: mweshimiwa nioneshe ambaye ameenda kuweka sukari yake uwanjani pasipo kujal kuwa inaweza ibwa,haribika au kunyeshewa na mvua.
Serikali: tunamaanisha umeficha hautaki kuuza
Mfanyabiashara: mheshimiwa sidhan kama kuna sheria ya kulazimisha kuuza kitu unachokihitaj.mi nmenunua sukari ya matumizi ya familia na ndugu zangu nkaweka store.kwa nini nilazimishwe kuuza? Mbona serikali ina viwanja vingi haijauza na hatuilazimishi kuuza?na wananch hawana viwanja?
Serikali: yaani unatumia tani 400 ?
Mfanyabiashara: sikuwa nimeambiwa kiwango cha mwisho cha matumizi. Lakini niliwah kushangaa kuna mtu ana magari 20 na mengine hayatumii kabisa lakini sijawah sikia akikamatwa kulazimishwa ayauze kwa wasiyo nayo.
Serikali: sasa unalazimishwa kuuza au tutataifisha
Mfanyabiashara: nikilazimisha na ninyi mniuzie kitu mlicho nacho ninachokitaka mtaniuzia?
Serikali: kitu gani?
Mfanyabiashara: nataman sana kama mngenipatia.........