Samahani wakuu. Kwa nini amekata simu?

Seneta Wa Mtwiz

JF-Expert Member
Sep 23, 2013
3,622
4,138
LEO TU HUU MCHANA
Shamila KANIPIGIA,
HILI SWALI KANIULIZA
NA JIBU AKASUBIRIA,

" Seneta WA Mtwiz Huijui Siku ya
akina Mama??
Mbona Hufanyi Jitihada Kumpost #Mama_Nawema??"

NIKAMJIBU Shamila,

*********
"FANYENI TU UPUUZI KUWAPROMOTI KWA PICHA,
KWENYE MSAADA HALISI UPENDO WOTE MNAUFICHA-
_
MNA_INCUR BIG_COST KWA GIRL/BOY_FRIEND,
WHILE HUKO KWA MAMA ZENU HATA BUKU HAIENDI!
_
REAL_LOVE KWA REAL_MAMA SIO YA
MITANDAONI,
BALI SAPOTI HALISI YENYE TIJA HADI ROHONI."
*********

Shamila AKAKATA SIMU NA KUPOTEA HEWANI,
NIMEMCHECK MPAKA SASA KABISA HAPATIKANI

#Kwani_Sh_Ngapi??

//HAKUNA WA KUBISHA-
WASHANINUKUU VIBAYA//
.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom