Udochi
JF-Expert Member
- Jul 25, 2015
- 782
- 1,056
Wakuu,
Ndugu yenu nina umri wa makamo (ni kati ya 23 na 26).
Miongoni mwa vitu ambavyo nina ushamba navyo,
Ni suala la kutopanda ndege.
Hivyo naomba wakuu mnisaidie gharama na utaratibu wa kusafiri kwa ndege kwenda na kurudi Mwanza au Kilimanjaro kutoka Dar es Salaam,
Nataka nikakae japo wiki 1 Katika mikoa tajwa kisha nirudi Dar.
Sina ndugu wala shughuli ya kwenda kuifanya huko mikoani,
Ila lengo langu kuu ni KUPANDA NDEGE TU ILI NITOE USHAMBA.
Msaada wakuu
Ili nianze kujipanga kibajeti.