Nimeamini watu wa Mbeya, Iringa na Ruvuma ni waoga kuhusu mlima Kitonga

Pure Scientific

JF-Expert Member
Nov 19, 2015
716
643
Wakuu salam zenu..
Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa, ruvuma ni waoga kuliko kwa kuwa zipo barabara hatari zaidi ya mlima huo kitonga

Barabara hatari zaidi duniani
15f1f3e8f758c9ba8c2e7eefb6101aff.jpg
66f0d54c1e200dc10f9bff8e58629e87.jpg
1806b8919acc046aa05f0327861f1200.jpg
9f131bae35f7c78cea483bb7e90c9f2f.jpg
f0bd6fe3c687c7c642300f7da60d3fae.jpg
d266d9a82632c3f5ce104733e512beb9.jpg
 
Mbona kona za barabara ya nyang'oro ni kali kuliko kitonga?
Halafu nani amekuambia kwamba watu wa Kusini na Nyanda za juu kusini wanaogopa mlima kitonga?
 
Enzi ya the Mighty Kiswele iga ufe, supu ya mawe suka Marehemu Wiligisi, miaka ya 95 hadi 98 nilikuwa nikienda kunyumba lazima nikae siti namba mbili, namba moja my late bro piga UA tukikosa hizo siti hatusafiri. Kona za ruaha mbuyuni mpaka mikumi gari inapigwa 100 kph halafu wrong side. Wanaoifahamu hii barabara upande mmoja mlima upande mwingine MTO Ruaha acha bana Kiswele noma. Dar linatoka kumi na mbili saa kumi na moja jioni tupo bombambili watu wanashangiliaje. Hiyo kitonga pale mabasi yanashindana na kupigana overtake za hatari akina tahfif, tawaqal matema beach. Pale makambako kuna mbuzi walikuwa wanazurula barabarani hawapishi magari only wakisikia honi ya kiswele ni baru porini.
 
Wakuu salam zenu..
Mmekuwa waoga sana kwa kuongelea mlima wa kitonga ni hatari zaidi kutokana na kuwa na kona nyingi juzi nilipopita pale kweli nimeamini watu wanaishi mikoa hii ya mbeya, iringa, ruvuma ni waoga kuliko kwa kuwa zipo barabara hatari zaidi ya mlima huo kitonga

Barabara hatari zaidi duniani
15f1f3e8f758c9ba8c2e7eefb6101aff.jpg
66f0d54c1e200dc10f9bff8e58629e87.jpg
1806b8919acc046aa05f0327861f1200.jpg
9f131bae35f7c78cea483bb7e90c9f2f.jpg
f0bd6fe3c687c7c642300f7da60d3fae.jpg
d266d9a82632c3f5ce104733e512beb9.jpg
Huo utafiti ulifanyia wapi mdau, hadi unakuja na hitimisho kwamba watu wa mikoa hiyo wanaogopa kona za huo mlima,
Ninachojua mda mwingine wanapita hiyo sehemu hata usiku eneo hilo wakiwa wanaleta mazao jijini DSM kwa ajili ya biashara na kuonesha wameshauzoea huo mlima wanasafiri hata na zile gari ndogo international transit - IT usiku hapo mlimani wakiwa wanarudi ili kuwahi shughuli zao makwao.
Pia unajuwa kuwa madereva wengi wa malori na tanks za mafuta yanayoenda nchi za zambia, malawi, congo n.k pia ni watu wa mikoa hiyo na ndio ambao wanapita mara nyingi usiku ilo eneo.
Thibitisha hoja yako, bila hivyo wewe ni muongo.
 
Enzi ya the Mighty Kiswele iga ufe, supu ya mawe suka Marehemu Wiligisi, miaka ya 95 hadi 98 nilikuwa nikienda kunyumba lazima nikae siti namba mbili, namba moja my late bro piga UA tukikosa hizo siti hatusafiri. Kona za ruaha mbuyuni mpaka mikumi gari inapigwa 100 kph halafu wrong side. Wanaoifahamu hii barabara upande mmoja mlima upande mwingine MTO Ruaha acha bana Kiswele noma. Dar linatoka kumi na mbili saa kumi na moja jioni tupo bombambili watu wanashangiliaje. Hiyo kitonga pale mabasi yanashindana na kupigana overtake za hatari akina tahfif, tawaqal matema beach. Pale makambako kuna mbuzi walikuwa wanazurula barabarani hawapishi magari only wakisikia honi ya kiswele ni baru porini.

HAHAAHAAAA!
 
Back
Top Bottom