JF Chit-Chats

General Chat, Talk about anything that falls under no category on the board, but remember FOLLOW THE RULES!
Jamani mimi ni binadamu na nimeumbwa na moyo wa nyama. Napenda kuomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo. Namtafuta amu popote alipo. Najua ni mke wa mtu kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake lakini...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Serikari ikimaliza kupambana na watumishi hewa wageukie na hili la wachumba hewa,watu wanakuwa na uchumba wa zaidi ya miaka mitatu hata nyumbani hawapelekani
1 Reactions
5 Replies
953 Views
Naomba kuuliza hivi Condoms nazo zingeadimika sokoni umma / wananchi wangelalamika kama wanavyolalamika kukosekana au kuwa na uhaba mkubwa wa Sukari? Kati ya Sukari na Condoms ipi ni hitaji...
0 Reactions
1 Replies
879 Views
Wasee niaje? Mimi ni ule msee huwanga sikosi shida kwa area. Si Mnajua maisha zangu na mastory zake huwanga tu ni sad!! Wacha niwashoo vile ni mabalaa tu zinanisonhesha kaa kijeshi, at least...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Habari wanajamvi? Kwa mfano,umeona upepo umekula mkate wako mwenyewe mara ukahisi panga pembeni ya mchanga kuna upawa wa kukwangulia lami mle kwenye buldozer halafu maji yanakufagilia ule mfagio...
0 Reactions
19 Replies
4K Views
Asala Aleikum, niko fiti lakini siku ya leo inanikalia tu ngumu ata hivyo siwezi anza kuteta juu ni wengi wamejaribu lakini sumu. sioni haja ya kuingia kwa bafu ju ni jana tu nilijimwagia ka...
0 Reactions
2 Replies
753 Views
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Ebwana wanaJF Mzuka! Bado siamin kabisa had sasa napoandika hii posti jina lang alijaorodheshwa kwenye Orodha ya matajir waliotunza hela Panama. Nilishikwa na waswas na kukosa aman toka jana...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
0 Reactions
0 Replies
1K Views
- E - P - Si - Ti - I - Efu - Chi - Echi - Ayi - Chey - Key - Elo - Emu - Eni - O - B - Kiu - Ara - Esi - D - U - Fi - Tapiliu - Exi - Wai - Seti
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Raisi Wa bongo marekani Na Russia walikwama kwenye ndege iliokua Na wao watatu Na marubani wawili. Ila bahati mbaya parachute zilikua mbili tuu... Ikabdibwapige kura maraisi gani wawili wapone...
1 Reactions
15 Replies
3K Views
Kutokana na Uhaba mkubwa wa Sukari iliyoadimika kwa Makusudi Watanzania sasa wamepata njia mbadala ya kunywa chai kwa kutumia aina nyingine ya Kichocheo kitamu. Hali hii imepelekea sasa...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Mkuu wa wilaya ya Iringa dc kasesela kapata media airtime ninoma..! Jamaa kama kawaida yake anapenda maujiko sana! Linavyojiuza hili jamaaa linapenda maujiko sana.
3 Reactions
22 Replies
4K Views
Mara nyingi mtu akiwa ameishiwa pesa hata ya kununulia chakula na inapotokea akaomba msaada kwa rafiki zake au ndugu huambulia kununulia pombe za hela nyingi lakini kumpa hela kidogo ya kununulia...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Habari, leo natoa ya moyoniNampendma sana Jacke but ilinikamwambie yaliyo moyoni mwangu pesa sina za kunifikisha kwao Japo kua nilisha semaga siwezi kuzama chumvini ila kwa Jackie nitazama...
2 Reactions
58 Replies
9K Views
Wakuu kesho nasafiri kwenda somalia kwa pikipiki boxer, wakuu naombeni baraka zenu na maombi
1 Reactions
27 Replies
4K Views
Mauno kitandani ni genetic ama something learned..... haya.............
2 Reactions
18 Replies
3K Views
Hivi mfano mtu anakupa namba yake ya simu lakini ukimtumia meseji ajibu wala simu ukimpigia apokei, acheni basi tabia hizo mnauzi sana,pia haihusu mapenzi au mahusiano wala sio ya kutongozana na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Deo alipimwa Malaria ikawa kidole damu haitoki vizuri.....lkabidi nesi amminye kidole taratibu ili damu itoke.....Katika kuminywaminywa Deo si akaona raha!! Akamwambia nesi "MKOJO PIA HAUTOKI"...
5 Reactions
11 Replies
2K Views
Mambo vp wadau. Mama mmoja wa kabila fulani kanda ya kaskazini alienda hospitali kumpima mwanae mwenye miaka 10 manake alikuwa anasumbuliwa na tumbo, alipofika akaambiwa akalete choo cha mwanae...
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…