Namtafuta amu popote alipo

KIDUDU

JF-Expert Member
Sep 17, 2012
2,557
1,926
Jamani mimi ni binadamu na nimeumbwa na moyo wa nyama.

Napenda kuomba msaada kwa yeyote mwenye uwezo. Namtafuta amu popote alipo.

Najua ni mke wa mtu kwa sasa kwa mujibu wa maelezo yake lakini, amu nilipoteza namba zako za simu, please amu nitumie tena namba yako pm ili niskie tena sauti yako.

Nataka niskie sauti yako tu amu maana hata mimi nilishaoa tayari. Nakumbuka sentensi yako ya mwisho na jinsi saut ilivyotoka jaman naumia roho.

amu nimeenda kanisani leo nikaona kuna haja ya kuongea na wewe leo ili nikuombe msamaha. Inawezekana usinipe namba ila naomba ufahamu siku ile ya mwisho nilikasirika na kukuwazia mabaya.

amu naomba unisamehe na namuomba Mungu akupe mafanikio tele, nami pia nimekusamehe kama uliniwazia mabaya. Jamani eh! Naombeni mnisaidie kufikisha ujumbe huu popote mtakapomuona.

amu amu

Ndimi
KIDUDU
 
TOBAAA....
Huyo amu ajitokeze kama yupo watu wanaumwa roho uku
 
angalia usije ukujiua bure kaka kwa taarifa nilizopata AMU ameolewa na mmakonde flani ivi... pole bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom