Nishory ndefu in short
Wakuu heshima kwenu,
Nina umri wa miaka 23 kwa kweli kuna mambo yananichanganya sana mpaka najiona sina bahati ya binti wa kujenga nae maisha,nilikuwa na mchumba ambae...
Mr and mrs Daudi walishafariki kitambo sana daaaa nasikitika sana,Neema kipenzi ameshaolewa na Musa kawa jambazi sugu.jamani ni kitambo sana enzi zetu zileeeeeee! Matola anakula gizani
Hiii ndyo...
Wakuu msaada kuna katatizo kamenipata mwanzo wa wiki hii kuanzia jmosi yani najing'ata ng'ata kwenye ulimi kwa siku mpaka Mara tano daah yani mpaka sina raha wakuu najua humu kuna wataalamu...
Mbuzi ni mnyama ambaye amekuwa akifugwa na binadamu tangu enzi na enzi.
Kumekuwa na misemo mingi ya Kiswahili ambayo inayohusisha mbuzi either kuna sababu maalumu au labda imetokea 'coincidence'...
Mh. Kitwanga amekuwa habari kubwa tangu uncle Magu atengue uteuzi wake!, kishindo cha utenguzi huo kimepelekea tasnia ya sanaa kutoa wimbo maalumu kusindikiza habari hii ambayo tunategemea...
Dear Coca-Cola,
Those people in your ads, the way they grab a bottle of Coca Cola from a cooler filled with ice cubes, the way they open the bottle and drink continuously, as if they have the...
Kutokana na timu yetu ya taifa, yanga,simba
na azam kufanyiwa figisufigisu wakienda
ugenini kwenye mashindano ya kimataifa....na
sisi wakija waarabu au tp mazembe tufanye hivi
1.tuwaweke sana...
Jamaa alikosea kutuma pesa akatuma mil2 kwa
no tofauti. Akafikilia cha kufanya akaja na hii:
''Hello natumai u mzima. Naamini umepokea
pesa niliyokutumia. Ni kwa ajili ya mwanzo wako
wa kuingia...
Nimeona niseme kama atakasirika akasirike. Watu wamekuwa wakimhujumu rais wetu kwa watu aonekane mbaya.
Kuna dada hapa mtaani toka amehamia mwaka jana mwishoni tunamwona anapita kwenda na kurudi...
Wakati tukiwa wadogo tuliaminishwa ukiona gari nyekundu au msalaba mwekundu hao ni mumiani wananyonya watu damu,nakumbuka mara tukaletewa habari kuna mwanamke anaitwa msekwa ana titi moja,uzushi...
Habari wakuu.
Bahati mbaya kuna kabinti kadogo dogo kalikuwa kamekaa karibu na mimi leo kameshika simu kuubwa kanachati na njemba mmoja kwa kuelekeza simu kwenye macho yangu ambapo hakukua na...
Yani sasa imekuwa kama fashion, kila kijana fb ana ka page kake ambako sie ma friends 'tunashurutishwa ku like'.
Watu wenyewe hizo wall zenu zimewashinda kupost vitu vya maana from January to...
Kwema wana Jukwaa?
Baada ya salamu nirejee kwenye ada yangu ambayo kichwa chake cha habari bado hajijajitosheleza kuelewa naongelea nini.
Siku moja nilienda kumtembelea dada yangu anaenifuatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.