nyumbatatu
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 1,076
- 939
Hongera kwa kukubali kujiongezea siku za kuishiNimecheka sana mkuu.
Kwanini umepeleka nakala kwa mbunge wa africa mashariki ?He he he!
cc Makongoro Nyerere popote ulipo. Kofia oyee! Kifimbo oyee!
Hayo ndio ya kitwanga .Sasa mheshimiwa ungeongeza audio nyingine!!! nimecheka mpaka basi
Kidogo ndio kitamu, ukizidisha ina-bore!, Si unajua tena:-"Mgema akisifiwa!,....!".Sasa mheshimiwa ungeongeza audio nyingine!!! nimecheka mpaka basi
Hahahaha!, Kitwanga aliongeza kutwanga nyingine baadaye wakamtwanga!Hayo ndio ya kitwanga .