kamanzi06
JF-Expert Member
- Jun 4, 2012
- 350
- 164
Mbuzi ni mnyama ambaye amekuwa akifugwa na binadamu tangu enzi na enzi.
Kumekuwa na misemo mingi ya Kiswahili ambayo inayohusisha mbuzi either kuna sababu maalumu au labda imetokea 'coincidence' baadhi ya misemo hiyo ni kama :
1. Sura Mbuzi - ikiwa na Maana kuwa na sura serious sio ya kuchekacheka
2. Unauliza Mavi ya Mbuzi kanya nani - ikiwa na maana kuwa unauliza swali ambalo jibu lake unaliona hapo hapo
3. buzi - hii inamaanisha mwanaume anaechunwa pesa zake kwa sababu za kimapenzi (kama nimekosea mnaweza kunisahihisha)
4. Kazi ya kumkuna Mbuzi matako - ikiwa namaana kufanya kazi bure. Sawa na kusema kupaka rangi upepo
5. Kumpigia Mbuzi gitaa - sawa na 4 hapo juu
6. Mbuzi kagoma kwenda - staili ya mambo yetu yalee
7. Kima cha Mbuzi - urefu wa Size ya Mbuzi
8. Kum* Mbuzi - tusi
Kama kuna mingine sijaiweka waweza kuongeza,
Kwanini hasa Mbuzi tu? Kwanini asiwe kondoo, au ng'ombe?
Muwe na Ijumaa njema