Baa zilizo Jirani na Bunge Kufutiwa Leseni

Waache ujinga.

kama hakuna sheria huko bungeni kudhibiti walevi wasitake kuonea watu kwenye biashara zao.

Kwani mwenye bar analazimisha wabunge kwenda kunywa au wanaenda kwa hiari yao?

Na pia siyo lazima mtu anywe karibu na bunge..anaweza kunywa kilevi chake popote hata akiwa bungeni..anatia tu kwenye chupa ya maji kama ni wisky ya rangi ya maji na mtu hawezi jua.

Waache uonevu
 
Hivi unajua kama kiroba ndio pombe rahisi kunywa popote Na rahisi kuingiza nayo popote Na ndio pombe inayonywewa Na walevi wengi sababu ya urahisi wake chunguza kila sehemu kuwafutia leseni hao wafanyabiashara ni kuwaonea tu wapambane Na walevi wao kivingine
 
UONEVU nchi ya ....
975151969e8b9d0632fc8c04d9169b62.jpg

Huu ni uonevu,mbona wana waonea watz kwa michezo yao ya kuhamisha magoli?
26b1719deb2a741151ff6316129592fe.jpg
 
Back
Top Bottom