kipara kipya
JF-Expert Member
- May 2, 2016
- 17,332
- 21,429
Wakati tukiwa wadogo tuliaminishwa ukiona gari nyekundu au msalaba mwekundu hao ni mumiani wananyonya watu damu,nakumbuka mara tukaletewa habari kuna mwanamke anaitwa msekwa ana titi moja,uzushi ukawa unasambaa kwa kasi ya ajabu.
Sasa wakubwa wa sasa wameaminishwa neno ugaidi kwa bahati mbaya waandishi,vyombo vyetu vya usalama pia vimetumbukia kwenye mkumbo mmoja,hivi tukijiuliza vikundi vya kigaidi vikiingia katika nchi hii kutalika kweli!
Kumbukeni ule mlipuko wa ubalozi wa Marekani ulikuwaje sasa hawa wahuni wa amboni na wale wahuni waliochinja watu mwanza tusiwape promo kubwa ya ugaidi wakati ni kikundi cha wauaji unaweza kuwaita majambazi kama komando yoso au panya road tu,tusirudi kwenye zama zile za kutishiwa buma,mumiani,zimwi.