Tajiri mkubwa duniani atokaye china alisema maneno haya kwa vijana

congrats brother, about what he is saying can that be applicable in Africa?
I'm worried kama ushauri wake unaweza kufanyiwa generalization kwetu waafrika..
Maana Jamaa kafanya conclusion kutokana na observation ya mazingira yake..
Sasa kwetu Africa life expectancy tu tayari kikwazo..
 
TRUE KABISA

Back
Top Bottom