Sodoku
JF-Expert Member
- Feb 3, 2016
- 1,266
- 2,870
Nimeona niseme kama atakasirika akasirike. Watu wamekuwa wakimhujumu rais wetu kwa watu aonekane mbaya.
Kuna dada hapa mtaani toka amehamia mwaka jana mwishoni tunamwona anapita kwenda na kurudi na maviroba yake ya sukari.ila akiombwa hatak kabisa kutoka utamu huo.
Jamaa zangu nao kibao wamejaribu kumshawishi awaachie sukari dada hatak kabisa. Ila ukimwona anatembea unamwona na makilo kibao ya sukari nyuma chin ya mgongo.
Hii sukari rais kasema watu tupewe au kama anauza basi iwe kwa bei ya kawaida hata sisi tusio na pesa tupate huo utamu.
Wadada msifiche sukari achen nasi tulambe tafadhari.