Sasa ni mwendo wa 'Like my Page' on Facebook

Usedcountrynewpipo

JF-Expert Member
Aug 1, 2012
3,636
2,725
Yani sasa imekuwa kama fashion, kila kijana fb ana ka page kake ambako sie ma friends 'tunashurutishwa ku like'.
Watu wenyewe hizo wall zenu zimewashinda kupost vitu vya maana from January to January bt eti mnafungua facebook pages. Sijui hata humo mtaandika nini cha maana mpaka sie tu like...
Au ndio fashion hii siku hizi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom