Mhhh.....macho hayana pazia

cj21125

JF-Expert Member
May 12, 2013
3,016
2,445
Habari wakuu.

Bahati mbaya kuna kabinti kadogo dogo kalikuwa kamekaa karibu na mimi leo kameshika simu kuubwa kanachati na njemba mmoja kwa kuelekeza simu kwenye macho yangu ambapo hakukua na jinsi ya kukwepa kuona labda kwa kufunga macho ndipo nikaona kaujumbe kanasomeka hivi: ''Unataka nikufanyie nini ili ujue kuwa nakupenda.'' Kilichonishangaza sana hapa haka kabinti kanaonekana kama kako under 18. Hatareee sana Mura.
 
Maadili sifuri bin negative kuanzia kwa wazazi walezi hadi watoto wenyewe.
 
Habari wakuu.

Bahati mbaya kuna kabinti kadogo dogo kalikuwa kamekaa karibu na mimi leo kameshika simu kuubwa kanachati na njemba mmoja kwa kuelekeza simu kwenye macho yangu ambapo hakukua na jinsi ya kukwepa kuona labda kwa kufunga macho ndipo nikaona kaujumbe kanasomeka hivi: ''Unataka nikufanyie nini ili ujue kuwa nakupenda.'' Kilichonishangaza sana hapa haka kabinti kanaonekana kama kako under 18. Hatareee sana Mura.
Kamfanyie kama kuswali kiarabu
 
Back
Top Bottom