VISA VYA MADENGE.
tabia ya madenge kukopakopa mitaani kulimfanyisha kukosa raha kabisa akawaza.
madenge:dah kulaleki wallahi hili lishakuwa balaa dingi akijua itakuwa jau.
akapata wazo...
Hey..naomba kuambiwa ni perfume/spray/unyunyu (kama ilivyozoeleka) gani ni mzuriii na unanukia safi nikipita mtaani kila mtu mpka avutiwe za kiume na za kike nazo mniambie ni wanunulie wapenzi...
Upo club kidogo kidogo pale club unadance solo...Mara gafla kademu kanakusogelea kukutabasamia.... Unaanza kushukuru sir God umepata wa kucheza nae....mnacheza Kaka 30 minute then kanakunongoneza...
*Mzee mmoja aliagizwa sidiria na mke wake, alipofika dukani akawa amesahau size gani. Mama muuzaji akamwambia: "Usijali, njoo unishike matiti yangu ulinganishe na hayo ya wife yako labda...
Ting'a
Yap, Ting'a , mating'a yako Mengi, mengine ya kijanja, mengine ya kifala na mengine bab kubwa.
Yote ni mating'a na una get high
Wapo ambao Konyagi inapigwa na safari larger , wengine zanzi...
Nyerere: Kama vile nakufananisha?
Mandela: Hata mimi naona sio sura ngeni?
Nyerere: We ndie Mandela eee?!
Mandela: Ndiyo mimi haswa miaka 14 ni mingi.
Nyerere: Sana!!.
Mandela: Sasa nitakaa wapi...
Hallo Magufuli, nipo hapa karibu na mpaka wa Tanzania, kwa spidi ya Magufuli nimemaliza barabara hadi Tanzania.
Upo wapi leo? Kama upo geita njoo tuonane hapa [emoji28] [emoji28]
Machizi wawili walibahatika kupanda garimoshi lililokuwa linaelekea Kigoma. Huko walikuwa waenda kwa ajili ya matatizo ya kifamilia yaliyokuwa yamewakumba ya kufiwa na chizi mwenzao mwingine...
naombeni kujua ni nani alienzisha hii social network na inaongozwa vp? na je aliianzisha mwaka gani? anapata mtonyo wowote kupitia huu mtandao?? je ina ma admini na ina member wangapi mpaka sasa...
We have been laughing,crying,joking, playing and supporting each other everyday. It has been a very challenging journey but we are still here standing strong. Now we have this special day to...
*Eddy* offers a drink to *Evelina*.
*Evelina*: No thanx, I don't take whisky, its bad for my legs!
*eddy*: legs? Dats strange, do they swell or hurt?
*Evelina*: No, they open easily...
Kwansa kabinsa nashuruku yote iliyojumuika na sisi....
Musiba hoyeeee....
Jenesa safiiii...
Imependesaa!!!! hijapendesaaa...kwanza nashukuru kwa hii mutu kufa!! Imesababisha tukala ile chakula ya...
Wakuu heshima zenu,
Kuna mambo watu wanafanya kutafuta SIFA au kufurahisha watu wengine,lakini ukichunguza vizuri ni upuuzi mtupu,hebu nikushirikishe baadhi ya mambo/tabia ambazo ni SIFA ZA...
Huyu jamaa anaitwa Ally a.k.a Pwiru au 50 Cent.. Huyu jamaa ndiye aliyenipa jina la Mreno akiwa katika hali hiyo hiyo kama anavyoonekana kutokana na uwezo wangu wa kupachika mabao. Jina likapata...
Are you a Tanzanian aged between 25yrs-44yrs?
Are you a holder of a Bachelor's degree in any field related to Finance, Statistics, Economics, Commerce, Humanities, Social Sciences, Administration...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.