HIizi nazo sifa za kijinga

Fall Army Worm

JF-Expert Member
Jan 8, 2015
19,352
14,381
Wakuu heshima zenu,

Kuna mambo watu wanafanya kutafuta SIFA au kufurahisha watu wengine,lakini ukichunguza vizuri ni upuuzi mtupu,hebu nikushirikishe baadhi ya mambo/tabia ambazo ni SIFA ZA KIJINGA;.

1.Kujisifia kuwa na michepuko mingi-ni sifa za kijinga.
2.Kujisifia kwamba wewe una hasira sana-ni sifa za kijinga.
3.Kujisifia kwamba unajua kila kitu-ni sifa za kijinga.
4.Kujisifia kwamba unakunywa sana pombe-ni sifa za kijinga.
5.kuvaa milegezo-ni sifa za kijinga.
6.Kujisifia kupiga mke-ni sifa za kijinga.
7.Kujisifia kwamba wewe ni mgomvi sana-ni sifa za kijinga.
8.Kujisifia Uchafu-ni sifa za kijinga.
9.Kujisifia wizi-ni sifa za kijinga.

>Wakuu naomba muendelee kutiririka kwa kutaja TABIA nyingine za hovyo ambazo ni SIFA ZA KIJINGA.
 
Back
Top Bottom