MK254
JF-Expert Member
- May 11, 2013
- 32,238
- 50,413
VISA VYA MADENGE.
tabia ya madenge kukopakopa mitaani kulimfanyisha kukosa raha kabisa akawaza.
madenge:dah kulaleki wallahi hili lishakuwa balaa dingi akijua itakuwa jau.
akapata wazo
madenge:anhaa ngoja nizuge nimekufa labda itasaidia.
basi akaamua kufanya hivyo,baada ya muda mama yake akaingia ndani anakuta madenge amekufa kilio kikaanza nyumba nzima.baada ya muda majirani wakajaa kwa huzuni kubwa. na baada ya muda irani ikatangazwa"jamani ndugu waislam kama kuna mtu yeyote anayemdai marehem madenge aje tumlipe hapa hapa duniani.
dooo!!!watu wengi walikuwa wanamdai madenge,lkn wote wakalipwa baadae mmama ntilie naye akaja akasema
mama ntilie:na mimi madenge alikula makande yangu.
kabla hajajibiwa kitu madenge akachukia akakulupuka na kusema kwa sauti
madenge:wee msenge yalichacha yale!!!!