Ni nani aliyeanzisha Jamiiforums?

HB.com

JF-Expert Member
Oct 19, 2015
608
637
naombeni kujua ni nani alienzisha hii social network na inaongozwa vp? na je aliianzisha mwaka gani? anapata mtonyo wowote kupitia huu mtandao?? je ina ma admini na ina member wangapi mpaka sasa?

KUKU MGENI HAKOSI KAMBA MGUUNI. utamjua tu
 
Msawali yako atakujibu Mkurugenzi wa Jamii Forums Maxence Melo
Mimi ntakujibu baadhi!
Wanalipwa ndiyo,hii ni website kama website zingine. Google wanawatupia kiasi wanachokipata kila mwisho wa mwezi.

Inaongozwa na moderators humu ndo maadmin. Ukifanya kosa unaadhibiwa pia.
 
Google anahusikaje kuwalipa tuelimishe
 
Swali limezaa swali
Kuhusu founder nafahamu kidogo kuwa ni ndugu Maxence Melo

Ila hapo kwenye malipo , jinsi wanavyopata faida kupitia forum hii ndio swali langu lipo

Pia naona Compact hapo juu ameongelea kuhusu google kutupia kiasi wanachokipata ila bado niko njia panda maana sijapata ufafanuzi wa kutosha.

Kama kuna mtaam wa haya maswala ya mitandao au kuna mdau anaefahamu kuhusu haya maswala atusaidie.

Maana kwa kulijibu hili tutapata uelewa hata jinsi gani mitandao mingine kama facebook, Instagram au forums zingine zinavyo zalisha pesa.
~nawasilisha.
 
Back
Top Bottom