Gari Moshi La Kigoma

Pilipilihoho

JF-Expert Member
Jan 29, 2016
202
145
Machizi wawili walibahatika kupanda garimoshi lililokuwa linaelekea Kigoma. Huko walikuwa waenda kwa ajili ya matatizo ya kifamilia yaliyokuwa yamewakumba ya kufiwa na chizi mwenzao mwingine.

Wakiwa ndani ya gari moshi mazungumzo yao yalikuwa kama hivi;

Chizi 1: Unaona miti vile inakimbia?

Chizi 2: Eeeeeeeeee! Itabidi tupande miti wakati wa kurudi.
 
Back
Top Bottom