WISE 2012
JF-Expert Member
- Mar 13, 2012
- 634
- 460
Upo club kidogo kidogo pale club unadance solo...Mara gafla kademu kanakusogelea kukutabasamia.... Unaanza kushukuru sir God umepata wa kucheza nae....mnacheza Kaka 30 minute then kanakunongoneza kwa skio yako "nireacherge elfu 30 nimtumie mama ili asiangaike kunitafuta niende na wewei"..
Mwanaume huna pesa kwa mpesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila... After 2mins kanarudi na power bank
Mwanaume huna pesa kwa mpesa lakini unajikaza kumdanganya smartphone imezima.... Kanatabasamu na kusema usijali kanaondoka,unashukuru sana ila... After 2mins kanarudi na power bank