View attachment 365562View attachment 365563
Hallo Magufuli, nipo hapa karibu na mpaka wa Tanzania, kwa spidi ya Magufuli nimemaliza barabara hadi Tanzania.
Upo wapi leo? Kama upo geita njoo tuonane hapa
Angalia habari iko jukwaa gani!Ni vyema utuambie kama kweli hayo maneno ni ya Rais Museven au ni utani umefanya. Utapotumia maneno ya utani katika habari, mwishoni ni busara kutuambia wasomaji.