Wakuu, achaneni na mambo ya siasa na uchumi, njoeni hapa pande za ChitChat tupige story za ukweli.
Leo nataka tuongee kuhusu hawa viumbe wa ajabu wanaoitwa "Vibenten" na "Mamarioo." Nitaongea...
Neno "Mshangazi" (au wingi wake "Mishangazi") katika lugha ya mitaani limebeba maana mpya na ya kipekee.
Tofauti na maana rasmi ya dada wa baba, neno hili sasa linamaanisha wanawake waliokomaa...
Hello members!! Nimekua nikisoma id za members kwa kweli zingine zinafurahisha, zinahuzunisha na kusisimua pia.
Nimeona kuanzia uzi huu maridhawa kabisa mwana jamii pita hapa tueleze maana na kwa...
Anahitajika Single Mama Madam wa chekechea awe na mtoto wake umri mwaka 1 au 2 au 3
Atakabidhiwa kusimamia shule na kupewa sehemu ya kukaa yeye na Mtoto wake
Atalipwa salary kwa makubaliano na...
Achana na mkeo
2. Nenda ulaya urudi
3. Soma sana
4. Usisome kabisa
5. Jua kuandika
6. Uwe mwongeaji
7. Ujue hotuba za nyerere
8. Hamia mkoa nilioko kwa sasa
9. Usijue soko liko umbali gani
10...
Haiwezekani ukawa mwanaume usiwe shabiki wa mpira. Hawa members lazima wawe mashabiki. Tena kwa lazima kwaanzia mechi ya leo usiku Arsenal vs PSG. Hata siku moja hawajawahi kucomment ama kuposti...
Kufanya ngono salama na yenye upendo huongeza maisha ya binadamu badala ya kuyafupisha, kwani tendo hili huboresha afya ya mwili na roho kwa wakati mmoja.
Kisayansi, watu wanaoshiriki tendo la...
Wikiendi hii natamani nikatembelee kijiji chochote chenye mandhari mazuri ya kiujamaa. Lengo ni kupumzisha akili na mwili kwa kuona vitu vya asili asili.
Kama kwenye hicho kijiji kutakuwa na...
Kuna huyu member mwenzetu Erythrocyte toka JF imefunguliwa sijamuona kabisa akikoment popote na si kawaida yake.
Si vibaya kulizana maana shetani ameshika hatam
Wakuu wasalaam,
Bwana mimi huwa sipendi kubishana kabisa na mabinti na hata akinikosea huwa siwezi kumfanya chochote namuangalia na kumwacha tu. Kama ni muelewa huwa namkanya aache kitu fulani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.