habarini humu ndani naomba msaada jinsi ya kutengeneza fondant sababu nimeangalia youtube naona wanaweka icing suger na marshmallow sina hakika kama hii marshmallow inapatikana hapa kwetu
Leo tunapika wali wa nazi, viazi vya kukaanga, mchemsho wa mboga za majani na samaki za kukaanga.
Mahitaji:
Mchele
Tui la nazi
Chumvi
Viazi
Kitunguu maji
Zucchin
karoti
French beans
Samaki...
Wana JF, napenda leo tuzungumzie aina za Mayai na upishi wake.
Nimeamua kuzungumzia mayai kutokana na wengi wetu kutojua aina hizi za mayai na kujikuta pindi tukitoka na kwenda mojawapo ya baadhi...
1.Samaki wa kipande 1/2 kg
2.Mchele 1/2 kg
3.Vitunguu maji 2
4.Carrot 1 kubwa ikwaruze
5.Mdalasini 1 teaspoon
6.Bizari ya pilau 1/2 tablespoon
7.Nyanya ya kopo
Kitunguu saumu na...
Habarini marafiki
Ifuaatayo ndo menyu ya kuandaa Juice ya Karoti na Machungwa
Mahitaji:
- Machungwa 20 au zaidi kutegemeana na jinsi upendavyo.
- Karoti 10 -17 hivi inategemeana anavyopenda
-...
Wakuu,
Kwa hapa Dar es Salaam ni hoteli ipi au mgahawa upi naweza kupata vyakula vya kienyeji vya asili ya mikoa ya kanda ya kati, magharibi na ziwa?. Jasiri haachi asili.
Wengi wetu tumezoea nyanya chungu za nazi,biringanya pia likipikwa na nazi huwa na ladha nzuri pia.
Mahitaji:
Biringanya kata dogo dogo wek katika maji ya baridi (hii husaidia biringani...
Waungwana mimi Nina kipaji cha utungaji wa vitabu vya mapishi.Nimakabiliwa na changamoto ya kifedha na hatua muhimu zakufanya kitabu kiingie sokoni na kuuzwa.Kama Una msaada wa mawazo au kifedha...
Mahitaji
Nyama ya ng'ombe ya mafupa bila ya kukatwa (pande kubwa unalotaka)
Viazi 4 vya mviringo vilivyomenywa na kukatwa
Vijiko 2 vya chakula vya thomu na tangawizi iliyosagwa
Kijiko 1 cha...
Mahitaji
Utumbo wa ng'ombe kg 1
Ndizi mbichi chana 2 ukubwa kiasi (ndizi 16-20)
Nyanya 3 kubwa
Kitunguu 1 kikubwa
Ndimu 2
Pilipili manga 1/2 kijiko cha chai
Tangawizi iliosagwa na saumu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.