Jukwaa la Mapishi

Mijadala mbalimbali ya wanajamii inayohusiana na mapishi
Habari zenu wana jukwaa mm nimgeni humu kwenye group lenu la mapish nataka muungane na mm shirika kwani napenda sana mapish na nimesoma nimeyapenda mapish yenu ahsanteni
0 Reactions
0 Replies
967 Views
Habari wadau. Ni wapi nitapata mtaalam anitengenezee keki nzuri kwa ajili ya birthday? Nataka niwe nimeipata Jumapili.
0 Reactions
1 Replies
3K Views
Wakuu kunawakati katika zunguka zunguka za kazi nilipata kukaa Kagera kwa miezi kadhaa, nilitokea kupenda sana zile ndizi zao wanaita MATOKE Naomba kama kuna mtaalamu anielekeze namna ya kupika...
0 Reactions
0 Replies
5K Views
Habari wadau, jioni hii nmeletewa nyama ya kusaga yafika kilo na nusu, ukweli hii ni nyingi sana kwa kupikia katless tu za watu watano hapa nyumbani, tusaidiane vitu vyengine ambavyo ntaweza...
0 Reactions
12 Replies
8K Views
Napenda kwenda jamaa fast food kunywa, lakini Siku nyingine huwa hawafanyi, nikaenda kisutu kuyanununua, nikaya blend kufanya juice lakini test yake imekua ina uchachu uchachu, hivi inafanywa...
9 Reactions
16 Replies
21K Views
Jamani mnisaidie kunielekeza ingawa najua ni kupika pilau ni process ndefu. Jinsi ya kuchanganyia viungo(spices) na ni viungo gani mhimu. Thanks!
0 Reactions
24 Replies
49K Views
SIJAWAHI kabisa kula nyama ya kondoo sasa nimeletewa na mimi ndo mpishi yamani msaada please. Jinsi ya kupika hii nyama Jinsi ya kui seasone Spices gani natakiwa nitumie nisije kuharibu mmh na...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Heshima zenu wakuu. Natumia gas cooker yenye oven kwa chini. Ishu ni kwamba sijawahi jua pa kuwashia hii oven. Msaada please. NB. Ni four plates, gas only. Manufacturer: westpoint.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Namna ya kuandaa papai kama mboga. 1. Chagua papai ambalo ni bichi na wala halijaanza kuiva (itakuwa vizuri kama utachagua papai changa) 2. Viungo vingine unavyotakiwa kutumia ni vile muhimu kama...
0 Reactions
4 Replies
7K Views
Jamani matunda aina ya mapera yanapatikana wapi hapa DSM?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Jamani matunda aina ya mapera yanapatikana wapi hapa DSM?
0 Reactions
2 Replies
2K Views
kasato na kachips kdogooo...usiku umepita
0 Reactions
2 Replies
2K Views
1 Reactions
10 Replies
3K Views
Halwa - Halua | Alhidaaya.com bofya hapo kwa maelekezo zaidi.
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nimeikuta sehemu nikasema niwadokeze wadau wa JF na nyie mumfaidi bata jamani Unataka kula kitu tofauti?katika hali ya kawaida tumezowea kula nyama ya kuku lakini vipi nyama...
1 Reactions
16 Replies
18K Views
Naomba msaada Wana JF wa kufahamu jinsi zinavyotengenezwa BAGIA za Dengu na Kunde.
0 Reactions
3 Replies
6K Views
Habari zenu wa jf...nilikuwa naomba msaada wa jinsi ya kutengeneza Catlesi (katlesi sijui spelling zake miye hivyo hivyo juu kwa juu).....kama kuna mtu anajua please naomba anipe recipe zake how...
0 Reactions
34 Replies
17K Views
Njegere Ni chakula cha kawaida kabisa kwa watanzania wengi.Njegere huweza tumika kama sehem ya kifungua kinywa,kiungo cha supu ,kiungo cha saladi na hata kama sehem ya mlo mkuu . Kuna Namna...
1 Reactions
1 Replies
5K Views
The process of making hard liquor involves the distillation of grains, most commonly, as well as fruits and vegetables that have been fermented. Wine and beer are also made from fermented...
0 Reactions
30 Replies
16K Views
UNAKUMBUKA ENZI ZA PIPI TOFFIIIII?? KAA TAYARI KWA RECIPE SAFI KABISA YA KEKI YENYE MCHANGANYIKO WA KARANGA SUKARI YA KAHAWIA NA KAHAWA YA UNGA WEEKEND HII NI TAMU RAHISI NA NI NAFUU KUANDAA...
0 Reactions
3 Replies
8K Views
Back
Top Bottom