JamiiCheck

A citizen-centered approach in countering misinformation and disinformation Online and Offline by JamiiForums

On JF:

Wakuu, Hiki kipeperushi ndio kimeanza kusambaa, yaani jamaa akaona katika siku zoteeeee leo ndio aje kufanya press, kwenye kesi ya Lissu? Kama ni kweli jamaa atakuwa na chuki iliyotukuka (kwa sauti ya GENTAMYCINE) na ameamua kweli kukibomoa chama.... ila ni kama vile vijana wa mama wapo kazini kufanya watu tusifatilie kesi ya Lissu! Lakini nasema nini, hakuna kitu kitatrend leo zaidi ya kesi ya Lissu.... chawa nawasalimu 😂 😂 😂 JamiiCheck tunaomba uhakiki wa hii taarifa
Roma Mkatoliki mbaroni nchini Marekani kwa kosa la madawa ya kulevya Taarifa kamili inafuatiliwa kwa kina na Watanzania waishio Marekani, inawezekana inachelewa kwasababu Roma sio msanii maarufu Marekani hivyo basi ili kupata taarifa zake inalazimu Watanzania waishio Marekani wafuatilie kwa undani lakini vilevile ITV waulizwe undani wa habari hii kwasababu Template yao ni ushahidi kuwa walichapisha taarifa hii Ushahidi: Bei Facebook anmelden
MARIA SARUNGI AMEANDIKA KWENYE UKURASA WAKE WA X KUWA GODBLESS LEMA APOKEA BILIONI 4 KUISAMBARATISHA CHADEMA. "🚨‼️Kaka yangu GODBLESS LEMA ametuchoma wapigania Haki.🚨‼️ Wakati tunalilia haki, tunapambana kwa ajili ya Mdude, yeye anapokea bilioni 4 kwa ajili ya kuizamisha CHADEMA polepole. Anawaumiza waliompigania, anahujumu harakati, halafu anapanga kuondoka nchini kujiweka salama huku akituacha kwenye mateso. Huu siyo usaliti wa kawaida—ni usaliti wa kihaini. #FreeMdude #UsalitiMtupu #Tunaona" 🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚🔚 Ameandika Maria Sarungi kwenye Ukurasa wake wa X zamani Twitter.
Back
Top Bottom