Kwanza Kabisa nawatakieni ninyi nyote Sabato yenye Baraka.
Nimesoma mahali kwamba Mtabiri wa taifa enzi za Nyerere Shehe Yahya Hussein alitabiri Uongozi ujao kuanzia awamu ya 4 hadi ya 6 Watatawala CCM lakini awamu ya 7 atachaguliwa Kiongozi wa Upinzani Kuongoza nchi
Kwamba mwisho wa CCM. Je, ni Kweli?
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, John Heche, amesema kuwa chama hicho kiko tayari kushiriki Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025, endapo Tume ya Uchaguzi itawapa nafasi hiyo.
Wakuu wa JamiiCheck hii uhalisia wake upoje??
===
JOHN MNYIKA APONGEZA JESHI LA POLISI KWA KULINDA DEMOKRASIA NCHINI AMEYASEMA HAYO LEO WAKATI WA MKUTANO NA WAANDISHI WA HABARI KUELEKEA MEI MOSI 2025.
LEO TAREHE 30 APRILI, 2025, MAKAO MAKUU YA CHADEMA.
Salaam Wakuu,
Nimeona taarifa imepostiwa na Boniface Jacob kupitia ukurasa wake wa X ikiambatana na video inayoonesha maji mengi ya mvua yakitiririka katika barabara ya Mlima Kitonga. Video hii imepostiwa pia na Change Tanzania pamoja na MwanaHabari.
Je kuna ukweli wowote kwenye hili?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.